Ruto afunika ODM

USHAWISHI unaoendelea kuongezeka wa Rais William Ruto katika ngome za jadi za ODM na uhasama kati ya viongozi wake unaendelea kulemaza umaarufu wa chama hicho. Haya yanafanyika huku ODM ikijiandaa kushiriki mazungumzo na UDA kuhusu uchaguzi mkuu wa 2027. Wachanganuzi wa siasa wanasema kosa kubwa la ODM lilikuwa kuwaelekeza wafuasi wake kumuunga mkono Rais Ruto kutafuta muhula wa pili kabla ya kukubaliana kuhusu…
This is a summary provided by Taifa Leo. Read the complete story on the publisher’s website.
Continue reading at Taifa Leo ↗