Aibu ilioje! Watu wazima kumdhalilisha mtoto anayelilia amani, afya ya akili

Aibu ilioje! Watu wazima kumdhalilisha mtoto anayelilia amani, afya ya akili

FATAKI SEHEMU kubwa wiki hii midahalo ilizagaa mitandaoni ambapo watu wazima, wanawake kwa wanaume, wengi wao ambao ni wazazi, waliungana kumdhalilisha mtoto. Endapo wewe ni mraibu wa mitandao ya kijamii, bila shaka ulikumbana na video au kusoma jumbe za watu wakimsawiri vibaya, kunuiza mambo ya soni na hata kumlaani mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 14. Mtoto huyu ambaye kosa la pekee ni ujasiri wa kusimama kidete…

This is a summary provided by Taifa Leo. Read the complete story on the publisher’s website.

Continue reading at Taifa Leo ↗

Cookie settings

Choose which cookies we may use. You can change this at any time from Cookie settings in the footer. Details of each cookie are in the Cookie Policy.

Strictly necessary

Needed for sign-in, security, payments and remembering these choices. Always on.

Preferences

Remember settings such as dark mode.

Analytics

Help us understand visits and countries – anonymous and aggregated.

Marketing

Used to measure and personalise adverts and social media content.