SHERIA: Hauwezi kutunzwa milele na mchumba wako mkitalikiana

SHERIA: Hauwezi kutunzwa milele na mchumba wako mkitalikiana

Je, mtu aliyepewa posho ya matunzo na mahakama ana haki ya kuendelea kupokea fedha hizo maisha yake yote? Sheria ya Ndoa ya Kenya inaeleza kuwa malipo hayo yanaweza kukoma kutokana na mambo fulani. Chini ya kifungu cha 78, agizo la matunzo ya mwanandoa linaweza kukoma katika hali tofauti, kutegemea namna lilivyowekwa na mazingira ya wahusika. Kwa mfano, ikiwa agizo halikuwekewa dhamana, linaweza kukoma baada ya kifo…

This is a summary provided by Taifa Leo. Read the complete story on the publisher’s website.

Continue reading at Taifa Leo ↗

Cookie settings

Choose which cookies we may use. You can change this at any time from Cookie settings in the footer. Details of each cookie are in the Cookie Policy.

Strictly necessary

Needed for sign-in, security, payments and remembering these choices. Always on.

Preferences

Remember settings such as dark mode.

Analytics

Help us understand visits and countries – anonymous and aggregated.

Marketing

Used to measure and personalise adverts and social media content.