Wakili Abshir Abdi amepatikana akiwa hai, huku kaka yake akithibitisha kuwa alifanikiwa kuwasiliana na familia kwa simu.
Kwa mujibu wa ndugu huyo, Abshir alipiga simu kwa familia na kuwajulisha kuwa yuko salama. Jamaa wa karibu wameelekea eneo alipo ili kukutana naye na kuthibitisha hali yake.
Habari za kupatikana kwake zimeleta afueni kwa familia, marafiki na wananchi waliokuwa wakifuatilia taarifa za kutoweka kwake. Chama cha Wanasheria Kenya (LSK) chasema alipatikana Isiolo.
The film depicts a friendship between an Irish journalist...
Matt Hagen's meteoric rise from Gotham street kid to...
In 1993, estranged Street Fighters Ryu and Ken Masters are...
Sunday is for slowing down, dressing up and having a good...
Spend Saturday morning, November 21, 2026 on a small-group...
Men are often taught to hold it in: the pressure, the...