📰 Newspapers

Mkaguzi amulika dosari katika mpango wa dish na county jijini

Mkaguzi amulika dosari katika mpango wa dish na county jijini

MPANGO wa kulisha wanafunzi wa shule za umma jijini Nairobi, Dishi na County, ulipoanzishwa Agosti 2023, ulilenga kupunguza visa vya watoto kukosa masomo kutokana na njaa, hasa wale wanaotoka katika mitaa ya mabanda.

Miaka mitatu baadaye, mpango huo umekuwa ukihudumia zaidi ya wanafunzi 324,000 kila siku na kutoa zaidi ya milo milioni 85. Hata hivyo, mafanikio hayo yameandamana na utata kuhusu zabuni, matumizi ya fedha na ubora wa majengo ya kuandalia chakula.

Ukaguzi uliofanywa na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Nancy Gathungu, kwa miaka ya kifedha ya 2024 na 2025, ulibaini kasoro kadhaa katika usimamizi wa mpango huo.Ripoti hizo zilitaja kampuni zilizopata zabuni za kujenga majiko makubwa katika shule mbalimbali, huku baadhi ya miradi ikikumbwa na maswali kuhusu namna zabuni zilivyotolewa na fedha kulipwa.

Kampuni zilizotajwa ni Najile Services, Glomag, Pemu Engineering, Blue Pacific Agency, Elitova Markers, Corporate Transfer Solutions, Cantam Investment, County Builders na Pinnie Agency.

Kwa mfano, Najile Services ilipata zabuni ya Sh32.37 milioni kujenga jiko katika Shule ya Msingi ya Kayole 1.Glomag ilipewa kazi kama hiyo katika Shule ya Msingi ya Njiru kwa Sh32.96 milioni, huku Pemu Engineering ikijenga jiko la Sh32.4 milioni katika Shule ya Msingi ya Roysambu.

Blue Pacific Agency ilipewa zabuni ya Sh32 milioni kujenga jiko katika Shule ya Msingi ya Toi, Kibra.

In brief

MPANGO wa kulisha wanafunzi wa shule za umma jijini Nairobi, Dishi na County, ulipoanzishwa Agosti 2023, ulilenga kupunguza visa vya watoto kukosa masomo kutokana na njaa, hasa wale wanaotoka katika mitaa ya mabanda. Kwa mfano, Najile Services ilipata zabuni ya Sh32.37 milioni kujenga jiko katika Shule ya Msingi ya Kayole 1.Glomag ilipewa kazi kama hiyo katika Shule ya Msingi ya Njiru kwa Sh32.96 milioni, huku Pemu Engineering ikijenga jiko la Sh32.4 milioni katika Shule ya Msingi ya Roysambu. Blue Pacific Agency ilipewa zabuni ya Sh32 milioni kujenga jiko katika Shule ya Msingi ya Toi, Kibra.

This is the opening of the story, shared with credit to Taifa Leo. The rest of the report — with every detail — continues on the publisher’s website.

Continue reading at Taifa Leo ↗

Cookie settings

Choose which cookies we may use. You can change this at any time from Cookie settings in the footer. Details of each cookie are in the Cookie Policy.

Strictly necessary

Needed for sign-in, security, payments and remembering these choices. Always on.

Preferences

Remember settings such as dark mode.

Analytics & performance

Help us count visits, understand which pages, devices and countries our readers use, and measure how well the site performs – anonymous and aggregated.

Advertising & marketing

Lets advertising partners show and personalise adverts, measure impressions, clicks and visits, prevent ad fraud and pay us – this is how the free site is funded.

🔔 News notifications

Get headlines from NewsHub on this device — even when the site is closed.

You can switch this off at any time. Works on Android, Windows, Mac and Linux browsers; on iPhone/iPad add the site to your Home Screen first.