📰 Newspapers

Sifuna avamia umaarufu wa Gachagua

Sifuna avamia umaarufu wa Gachagua

Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna anaonekana kuvuka mipaka ya kisiasa ya chama chake cha Linda Mwananchi Movement na kupata nafasi miongoni mwa wafuasi wa chama cha Democracy for the Citizens Party (DCP), kinachoongozwa na aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua.

Utafiti mpya wa TIFA Research unaonyesha kuwa asilimia 34 ya wafuasi wa DCP wanamtaka Sifuna awe rais wa tano wa Kenya baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2027. Gachagua, ambaye ndiye kiongozi wa chama hicho, anapata asilimia 25 katika kundi hilo.

Tofauti hiyo ya asilimia tisa inaibua maswali kuhusu uhusiano kati ya umaarufu wa kiongozi wa chama na matarajio ya wafuasi wake kuhusu mgombeaji wa urais. Pia inaonyesha kuwa baadhi ya wafuasi wa DCP wanaweza kuwa tayari kuunga mkono mgombeaji kutoka nje ya chama chao, iwapo upinzani utaafikiana kuhusu tiketi ya pamoja.

Hata hivyo, matokeo hayo hayamaanishi kuwa Sifuna amemshinda Gachagua katika eneo lote la Mlima Kenya. Takwimu hizo zinahusu watu 174 waliojitambulisha kuwa wafuasi wa DCP katika utafiti huo, wala si wapiga kura wote wa eneo hilo.

Utafiti huo uliotolewa Novemba 12 unaonyesha kuwa Sifuna anapata uungwaji mkono hata nje ya chama chake. Miongoni mwa wafuasi wa chama cha ODM, asilimia 33 wanamtaka ashinde urais, ikilinganishwa na asilimia 42 wanaomuunga mkono Rais William Ruto.

Kwa upande mwingine, asilimia 85 ya wafuasi wa UDA wanamtaka Ruto ashinde, huku asilimia 90 ya wafuasi…

In brief

Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna anaonekana kuvuka mipaka ya kisiasa ya chama chake cha Linda Mwananchi Movement na kupata nafasi miongoni mwa wafuasi wa chama cha Democracy for the Citizens Party (DCP), kinachoongozwa na aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua. Gachagua, ambaye ndiye kiongozi wa chama hicho, anapata asilimia 25 katika kundi hilo. Kwa upande mwingine, asilimia 85 ya wafuasi wa UDA wanamtaka Ruto ashinde, huku asilimia 90 ya wafuasi…

This is the opening of the story, shared with credit to Taifa Leo. The rest of the report — with every detail — continues on the publisher’s website.

Continue reading at Taifa Leo ↗

Cookie settings

Choose which cookies we may use. You can change this at any time from Cookie settings in the footer. Details of each cookie are in the Cookie Policy.

Strictly necessary

Needed for sign-in, security, payments and remembering these choices. Always on.

Preferences

Remember settings such as dark mode.

Analytics & performance

Help us count visits, understand which pages, devices and countries our readers use, and measure how well the site performs – anonymous and aggregated.

Advertising & marketing

Lets advertising partners show and personalise adverts, measure impressions, clicks and visits, prevent ad fraud and pay us – this is how the free site is funded.

🔔 News notifications

Get headlines from NewsHub on this device — even when the site is closed.

You can switch this off at any time. Works on Android, Windows, Mac and Linux browsers; on iPhone/iPad add the site to your Home Screen first.