📰 Newspapers

Ishara uko katika uhusiano feki

Watu wengi huingia katika mahusiano wakiamini wamepata mchumba wa maisha, lakini kadiri siku zinavyosonga hugundua kuwa huenda wanatumika kuziba upweke wa waliyedhani anawapenda.

Wataalamu wa masuala ya mahusiano wanaonya kuwa si kila mtu anayesema anakupenda ana hisia za dhati za mapenzi.

Kuna dalili kadhaa zinazoweza kukusaidia kutambua ikiwa mpenzi wako anakupenda kweli at au anafurahia tu uwepo wako.

Hamna ukaribu wa kihisia

Kulingana na mtaalamu wa mahusiano Jedida Kanini, mapenzi ya kweli yanahitaji zaidi ya kuvutiana kimwili au kufurahia kuwa pamoja.

“Wapenzi wanapaswa kuwa na uwezo wa kufunguka, kuelezana hofu, changamoto na matarajio yao. Ikiwa mazungumzo yenu huishia kwenye utani, starehe na mambo ya kimwili bila kugusa kwa undani hisia zenu, huenda uhusiano huo hauna msingi imara wa kihisia na mtu wako anajifanya anakupenda,” asema Kanini.

Uhusiano wenu kila mara uko ukingoni mwa kuvunjika

Kulingana na Kanini, ikiwa kila mnapokosana unahisi uhusiano wenu unakaribia mwisho, hiyo ni ishara ya kutokuwa na usalama wa kihisia na uhusiano wenu ni bonoko. “Mapenzi ya kweli hayamaanishi kutokubaliana, bali kuwa na uwezo wa kutatua tofauti bila mmoja kutishia kuondoka kila mara. Iwapo anatishia kukuacha au unatishia kufanya hivyo mkitofautiana au mna hisia za kufanya hivyo,” uhusiano wenu si wa dhati.

Amezoea uwepo wako lakini hakupendi

Mwanasaikolojia Benda Kamau anasema kuwa kuna tofauti kubwa kati ya mtu anayekupenda na anayekufurahia kwa sababu tu humfanya asihisi…

In brief

Watu wengi huingia katika mahusiano wakiamini wamepata mchumba wa maisha, lakini kadiri siku zinavyosonga hugundua kuwa huenda wanatumika kuziba upweke wa waliyedhani anawapenda. Uhusiano wenu kila mara uko ukingoni mwa kuvunjika Kulingana na Kanini, ikiwa kila mnapokosana unahisi uhusiano wenu unakaribia mwisho, hiyo ni ishara ya kutokuwa na usalama wa kihisia na uhusiano wenu ni bonoko.

This is the opening of the story, shared with credit to Taifa Leo. The rest of the report — with every detail — continues on the publisher’s website.

Continue reading at Taifa Leo ↗

Cookie settings

Choose which cookies we may use. You can change this at any time from Cookie settings in the footer. Details of each cookie are in the Cookie Policy.

Strictly necessary

Needed for sign-in, security, payments and remembering these choices. Always on.

Preferences

Remember settings such as dark mode.

Analytics & performance

Help us count visits, understand which pages, devices and countries our readers use, and measure how well the site performs – anonymous and aggregated.

Advertising & marketing

Lets advertising partners show and personalise adverts, measure impressions, clicks and visits, prevent ad fraud and pay us – this is how the free site is funded.

🔔 News notifications

Get headlines from NewsHub on this device — even when the site is closed.

You can switch this off at any time. Works on Android, Windows, Mac and Linux browsers; on iPhone/iPad add the site to your Home Screen first.