📰 Newspapers

Kalameni azima waliodai mkewe ana jicho la nje

Kalameni azima waliodai mkewe ana jicho la nje

POLO wa hapa alipuzilia mbali masengenyo ya wakazi kuhusu uaminifu wa mkewe akisema hiyo ni ishara tosha mrembo amekuwa tisho kwa wapinzani.

Udaku uliotua kwenye meza ya Dondoo za Hapa na Pale unaarifu kuwa, mke wa jamaa ni mwanasiasa limbukeni na juzi uvumi ulienea kuwa amejishindia bwanyenye kama sponsa wa siasa zake.

Mwanadada alipinga madai haya vikali huku mumewe vilevile akasema tetesi hizo si za kweli.

“Ninapata matumaini zaidi nikisikia tetesi kama hizo. Ni wazi sasa wapinzani wa mke wangu wameingiwa na baridi mapema. Atawabwaga wote," jamaa alisema na kutoa kicheko cha ushindi.

Jamaa alimhakikishia mrembo kuwa yu huru kutembea atakavyo kunadi sera zake kwa raia.

Walioeneza uvumi huo waliripotiwa kuabika na kufyata ndimi zao.

In brief

POLO wa hapa alipuzilia mbali masengenyo ya wakazi kuhusu uaminifu wa mkewe akisema hiyo ni ishara tosha mrembo amekuwa tisho kwa wapinzani. Udaku uliotua kwenye meza ya Dondoo za Hapa na Pale unaarifu kuwa, mke wa jamaa ni mwanasiasa limbukeni na juzi uvumi ulienea kuwa amejishindia bwanyenye kama sponsa wa siasa zake. “Ninapata matumaini zaidi nikisikia tetesi kama hizo. Jamaa alimhakikishia mrembo kuwa yu huru kutembea atakavyo kunadi sera zake kwa raia.

This is the opening of the story, shared with credit to Taifa Leo. The rest of the report — with every detail — continues on the publisher’s website.

Continue reading at Taifa Leo ↗

Cookie settings

Choose which cookies we may use. You can change this at any time from Cookie settings in the footer. Details of each cookie are in the Cookie Policy.

Strictly necessary

Needed for sign-in, security, payments and remembering these choices. Always on.

Preferences

Remember settings such as dark mode.

Analytics & performance

Help us count visits, understand which pages, devices and countries our readers use, and measure how well the site performs – anonymous and aggregated.

Advertising & marketing

Lets advertising partners show and personalise adverts, measure impressions, clicks and visits, prevent ad fraud and pay us – this is how the free site is funded.

🔔 News notifications

Get headlines from NewsHub on this device — even when the site is closed.

You can switch this off at any time. Works on Android, Windows, Mac and Linux browsers; on iPhone/iPad add the site to your Home Screen first.