📰 Newspapers

Gachagua avuna, ajinasia wabunge watatu wa UDA kwa mpigo

Gachagua avuna, ajinasia wabunge watatu wa UDA kwa mpigo

KIONGOZI wa chama cha Democracy for the Citizens (DCP) Rigathi Gachagua ameongeza idadi ya wabunge wanaomuunga mkono baada ya wabunge watatu wa chama tawala cha United Democratic Alliance (UDA) kujiunga na chama chake.

Wabunge hao ni GG Kagombe wa Gatundu Kusini, Wachira Karani wa Laikipia Magharibi na Mwakilishi wa Wanawake wa Nyeri Rahab Mukami.

Watatu hao walipokelewa na Gachagua katika makazi yake ya Wamunyoro, Kaunti ya Nyeri, jana, ambako walivalishwa kofia za chama cha DCP kuashiria kujiunga rasmi na chama hicho.

Hatua hiyo ni sehemu ya juhudi za Gachagua kutanua ushawishi wa chama chake kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027, hasa katika eneo la Mlima Kenya ambalo lilikuwa ngome ya Rais William Ruto katika uchaguzi wa 2022.

Akizungumza baada ya kuwapokea, Gachagua alisema chama chake kiko tayari kuwapokea viongozi kutoka vyama vingine bila masharti, akisisitiza kuwa siasa zinapaswa kuanzia katika mahitaji ya wananchi wa maeneo husika.

“Karibuni viongozi wote wanaotaka kujiunga na chama chetu. Milango iko wazi na tunawapokea bila masharti,” alisema.

Alisema lengo lake ni kupanua ushawishi wa DCP kwa kuwashawishi viongozi wa chama tawala kujiunga na chama chake.

Alisema idadi ya wabunge wanaounga mkono DCP imeongezeka kutoka 19 hadi 25, huku akilenga kuwa na zaidi ya wabunge 60 ifikapo Februari mwaka ujao.

Alitangaza kuwa muda wa viongozi kuhamia chama hicho utaendelea hadi Desemba 31, 2026, akiwataka wanaotaka kuwania nyadhifa…

In brief

KIONGOZI wa chama cha Democracy for the Citizens (DCP) Rigathi Gachagua ameongeza idadi ya wabunge wanaomuunga mkono baada ya wabunge watatu wa chama tawala cha United Democratic Alliance (UDA) kujiunga na chama chake. “Karibuni viongozi wote wanaotaka kujiunga na chama chetu. Alisema lengo lake ni kupanua ushawishi wa DCP kwa kuwashawishi viongozi wa chama tawala kujiunga na chama chake.

This is the opening of the story, shared with credit to Taifa Leo. The rest of the report — with every detail — continues on the publisher’s website.

Continue reading at Taifa Leo ↗

Cookie settings

Choose which cookies we may use. You can change this at any time from Cookie settings in the footer. Details of each cookie are in the Cookie Policy.

Strictly necessary

Needed for sign-in, security, payments and remembering these choices. Always on.

Preferences

Remember settings such as dark mode.

Analytics & performance

Help us count visits, understand which pages, devices and countries our readers use, and measure how well the site performs – anonymous and aggregated.

Advertising & marketing

Lets advertising partners show and personalise adverts, measure impressions, clicks and visits, prevent ad fraud and pay us – this is how the free site is funded.

🔔 News notifications

Get headlines from NewsHub on this device — even when the site is closed.

You can switch this off at any time. Works on Android, Windows, Mac and Linux browsers; on iPhone/iPad add the site to your Home Screen first.