📰 Newspapers

MAONI: Siasa za mavazi zitagubika sera za wanaosaka uongozi

MAONI: Siasa za mavazi zitagubika sera za wanaosaka uongozi

KATIKA siku za hivi karibuni wanasiasa wameumbuana kuhusu mavazi na wakafanya siasa hizo kuzagaa kama moto katika kichaka kikavu.

Wakenya wameshindwa kufahamu ikiwa hizo ndizo sera watakazotumia kutafuta nafasi ya kuingia ikulu kipenga cha Agosti 10, 2027 kitakapopulizwa.

Aliyeanza mjadala huo ni mwakilishi wa kike katika kaunti ya Vihiga Bi Beatrice Adagala.

Alimwambia kiongozi wa Linda Mwananchi Edwin Sifuna ajifunze kuvaa suti kwanza ili afikirie kuwa Rais wa Kenya.

Akasema mtu anayevaa T-shirt hawezi kuwaongoza Wakenya.

Wafuasi wa Sifuna walimjia mama Adagala kwa meno ya juu. Na bosi wao Edwin Sifuna naye hakuchelea kuchemka.

Jumamosi aliyopita katika mazishi ya dadake kiongozi wa DCP Rigathi Gachagua, Sifuna alisema wapinzani wake wamekosa cha kumtafutia na sasa wamefika kwa mavazi yake.

Sifuna naye ana ulimi wa upanga.

Akasema kuwa heri ya yeye anayevaa T-shirt, wapinzani wake kwa maana ya Rais Ruto na washirika wanavaa nguo ghali na mtu anatembea na shilingi milioni mia moja mwilini.

Eti ukikutana naye barabarani ni kama SACCO, mavazi yake yanaweza kukukopesha hela unazotaka.

Kama kwamba hilo halikutosha, Gachagua baadaye akamponda Rais Ruto kwa madai ya ubadhirifu wa mali akijiwekea kwa mavazi ghali.

Kwangu mimi hii ni mirindimo ya vimbwanga katika mikoba ya ucheshi.

Wafuasi wa makundi haya wamesahau hata sera za wakubwa wao za kustawisha elimu, kuboresha elimu, kuratibu miundo msingi kwa umma, kuzingatia utawala wa sheria miongoni…

In brief

KATIKA siku za hivi karibuni wanasiasa wameumbuana kuhusu mavazi na wakafanya siasa hizo kuzagaa kama moto katika kichaka kikavu. Na bosi wao Edwin Sifuna naye hakuchelea kuchemka. Jumamosi aliyopita katika mazishi ya dadake kiongozi wa DCP Rigathi Gachagua, Sifuna alisema wapinzani wake wamekosa cha kumtafutia na sasa wamefika kwa mavazi yake. Eti ukikutana naye barabarani ni kama SACCO, mavazi yake yanaweza kukukopesha hela unazotaka.

This is the opening of the story, shared with credit to Taifa Leo. The rest of the report — with every detail — continues on the publisher’s website.

Continue reading at Taifa Leo ↗

Cookie settings

Choose which cookies we may use. You can change this at any time from Cookie settings in the footer. Details of each cookie are in the Cookie Policy.

Strictly necessary

Needed for sign-in, security, payments and remembering these choices. Always on.

Preferences

Remember settings such as dark mode.

Analytics & performance

Help us count visits, understand which pages, devices and countries our readers use, and measure how well the site performs – anonymous and aggregated.

Advertising & marketing

Lets advertising partners show and personalise adverts, measure impressions, clicks and visits, prevent ad fraud and pay us – this is how the free site is funded.

🔔 News notifications

Get headlines from NewsHub on this device — even when the site is closed.

You can switch this off at any time. Works on Android, Windows, Mac and Linux browsers; on iPhone/iPad add the site to your Home Screen first.