📰 Newspapers

Kauli za Tutam, faya, pawa zatawala wakati wa hotuba ya Ruto Bungeni

Kauli za Tutam, faya, pawa zatawala wakati wa hotuba ya Ruto Bungeni

BUNGE jana liligeuka jukwaa la kwaya ya kaulimbiu za kisiasa wakati Rais William Ruto akitoa hotuba yake ya nne ya Hali ya Taifa, takriban miezi tisa kabla ya uchaguzi mkuu wa 2027.

Usalama ulikuwa umeimarishwa katika majengo ya Bunge, huku barabara zilizo karibu zikifungwa na maafisa wa usalama kutoka vitengo mbalimbali.

Mbwa maalumu wa kunusa vilipuzi pia walitumwa kukagua eneo hilo, huku watu waliokuwa na vitambulisho maalumu pekee wakiruhusiwa kuingia ndani ya Bunge.

Rais aliwasili saa nane na dakika kumi mchana kupitia Barabara ya Uhuru na kuwasalimu maafisa waliokuwa wameandaa gwaride la heshima kabla ya kuingia katika majengo ya Bunge.

Alipokelewa na Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetang’ula na mwenzake wa Seneti Amason Kingi.

Baadaye aliingia katika ukumbi wa Bunge saa nane na dakika thelathini na nane mchana, akiongozwa na maafisa waliobeba fimbo za mamlaka za mabunge hayo.

In brief

BUNGE jana liligeuka jukwaa la kwaya ya kaulimbiu za kisiasa wakati Rais William Ruto akitoa hotuba yake ya nne ya Hali ya Taifa, takriban miezi tisa kabla ya uchaguzi mkuu wa 2027. Usalama ulikuwa umeimarishwa katika majengo ya Bunge, huku barabara zilizo karibu zikifungwa na maafisa wa usalama kutoka vitengo mbalimbali. Rais aliwasili saa nane na dakika kumi mchana kupitia Barabara ya Uhuru na kuwasalimu maafisa waliokuwa wameandaa gwaride la heshima kabla ya kuingia katika majengo ya Bunge.

This is the opening of the story, shared with credit to Taifa Leo. The rest of the report — with every detail — continues on the publisher’s website.

Continue reading at Taifa Leo ↗

Cookie settings

Choose which cookies we may use. You can change this at any time from Cookie settings in the footer. Details of each cookie are in the Cookie Policy.

Strictly necessary

Needed for sign-in, security, payments and remembering these choices. Always on.

Preferences

Remember settings such as dark mode.

Analytics & performance

Help us count visits, understand which pages, devices and countries our readers use, and measure how well the site performs – anonymous and aggregated.

Advertising & marketing

Lets advertising partners show and personalise adverts, measure impressions, clicks and visits, prevent ad fraud and pay us – this is how the free site is funded.

🔔 News notifications

Get headlines from NewsHub on this device — even when the site is closed.

You can switch this off at any time. Works on Android, Windows, Mac and Linux browsers; on iPhone/iPad add the site to your Home Screen first.