📰 Newspapers

Pato zuri la karakara za zambarau lamfanya ‘kujuta kuhangaikia mahindi’ miaka mingi

Pato zuri la karakara za zambarau lamfanya ‘kujuta kuhangaikia mahindi’ miaka mingi

MUSA Kemei ni mkulima wa matunda ya karakara (passion fruit) eneo la Chai-Moto, Mariashoni, Molo katika Kaunti ya Nakuru.

Amekuwa akikuza matunda hayo yenye rangi ya zambarau au ‘purple passion’ kwa muda wa miaka minane.

"Nilikuwa nikilima mahindi kwa zaidi ya miaka 10 kabla ya kuamua kubadilisha na kuanza ukulima huu wa matunda. Hii ilitokana na kupanda kwa gharama za pembejeo za kilimo, kama vile mbolea na mbegu huku nikitumia fedha nyingi kuanzia hatua ya kuandaa shamba hadi kuvuna,” anasema.

Anasema alikuwa akivuna takriban magunia 15-20 ya mahindi kutoka kwa ekari moja huku akiuza kila gunia la kilo 90 kwa kati ya Sh1,800 na Sh2,500, kulingana na hali ya soko mwishoni mwa mwaka.

Katika kila msimu, alikuwa akitumia zaidi ya Sh50,000 kwa shughuli zote kuanzia upanzi hadi kuvuna.

Mnamo 2018 alipata motisha kutoka kwa moja wa rafiki zake na pamoja na mkewe walikubaliana kubadilisha matumizi ya sehemu moja ya shamba lao la mahindi ili kupanda matunda hayo.

Kwa mtaji wa Sh4,000, aliandaa sehemu ya shamba na kununua miche 150 kutoka kwa rafiki yake, ambaye alikuwa ameiandaa kwenye kitalu, kwa Sh20 kwa kila mche.

Fedha zilizobaki alizitumia kwa ajili ya shughuli za upanzi na gharama zingine zikiwepo kulipa wafanyi kazi wa vibarua.

Shughuli ya upanzi

“Nilichimba mashimo yenye ukubwa wa futi moja, yakiwa na nafasi ya mita moja na nusu kati…

In brief

MUSA Kemei ni mkulima wa matunda ya karakara (passion fruit) eneo la Chai-Moto, Mariashoni, Molo katika Kaunti ya Nakuru. Katika kila msimu, alikuwa akitumia zaidi ya Sh50,000 kwa shughuli zote kuanzia upanzi hadi kuvuna. Mnamo 2018 alipata motisha kutoka kwa moja wa rafiki zake na pamoja na mkewe walikubaliana kubadilisha matumizi ya sehemu moja ya shamba lao la mahindi ili kupanda matunda hayo.

This is the opening of the story, shared with credit to Taifa Leo. The rest of the report — with every detail — continues on the publisher’s website.

Continue reading at Taifa Leo ↗

Cookie settings

Choose which cookies we may use. You can change this at any time from Cookie settings in the footer. Details of each cookie are in the Cookie Policy.

Strictly necessary

Needed for sign-in, security, payments and remembering these choices. Always on.

Preferences

Remember settings such as dark mode.

Analytics & performance

Help us count visits, understand which pages, devices and countries our readers use, and measure how well the site performs – anonymous and aggregated.

Advertising & marketing

Lets advertising partners show and personalise adverts, measure impressions, clicks and visits, prevent ad fraud and pay us – this is how the free site is funded.

🔔 News notifications

Get headlines from NewsHub on this device — even when the site is closed.

You can switch this off at any time. Works on Android, Windows, Mac and Linux browsers; on iPhone/iPad add the site to your Home Screen first.