📰 Newspapers

ODM yaanza kujipenyeza ngome ya UDA

ODM yaanza kujipenyeza ngome ya UDA

CHAMA cha Orange Democratic Movement (ODM) kinatanua ushawishi wake katika Bonde la Ufa, eneo ambalo kwa muda mrefu limekuwa ngome ya kisiasa ya Rais William Ruto na chama tawala cha United Democratic Alliance (UDA).

Kuvutiwa kwa wanasiasa wanaotaka kuwania nyadhifa mbalimbali katika uchaguzi mkuu wa 2027 nkupitia tiketi ya ODM kunaashiria mabadiliko katika hesabu za kisiasa katika eneo hilo.

Hali hii inajiri huku UDA na ODM zikiwa zimeingia katika ushirikiano wa kisiasa unaolenga kumuunga mkono Rais Ruto kuwania muhula wa pili kupitia serikali jumuishi.

Hata hivyo, Mwenyekiti wa ODM Gladys Wanga amesisitiza kuwa ushirikiano huo hautamaanisha chama chake kukabidhi ngome zake za kisiasa kwa UDA.

“Makubaliano ya kisiasa na UDA ni kuhakikisha Rais Ruto anachaguliwa tena na hayatahusisha kukabidhi maeneo ambayo ni ngome za ODM,” alisema Wanga wakati viongozi wa chama hicho walipotembelea Bonde la Ufa hivi majuzi.

Miongoni mwa wanasiasa walioamua kujiunga na ODM ni aliyekuwa Seneta wa Pokot Magharibi Samuel Poghisio, ambaye alihama chama cha Kanu pamoja na baadhi ya viongozi wa eneo hilo wakiwemo madiwani.

“Nimeondoka rasmi Kanu na kujiunga na ODM. Nitaelekeza nguvu na rasilimali zangu katika kukieneza chama hiki,” alisema Poghisio.

Hatua hiyo inatarajiwa kuzidisha ushindani wa kisiasa Pokot Magharibi, ambako Poghisio ana nia ya kuwania ugavana dhidi ya wapinzani wake wa muda mrefu.

In brief

CHAMA cha Orange Democratic Movement (ODM) kinatanua ushawishi wake katika Bonde la Ufa, eneo ambalo kwa muda mrefu limekuwa ngome ya kisiasa ya Rais William Ruto na chama tawala cha United Democratic Alliance (UDA). Kuvutiwa kwa wanasiasa wanaotaka kuwania nyadhifa mbalimbali katika uchaguzi mkuu wa 2027 nkupitia tiketi ya ODM kunaashiria mabadiliko katika hesabu za kisiasa katika eneo hilo. Nitaelekeza nguvu na rasilimali zangu katika kukieneza chama hiki,” alisema Poghisio.

This is the opening of the story, shared with credit to Taifa Leo. The rest of the report — with every detail — continues on the publisher’s website.

Continue reading at Taifa Leo ↗

Cookie settings

Choose which cookies we may use. You can change this at any time from Cookie settings in the footer. Details of each cookie are in the Cookie Policy.

Strictly necessary

Needed for sign-in, security, payments and remembering these choices. Always on.

Preferences

Remember settings such as dark mode.

Analytics & performance

Help us count visits, understand which pages, devices and countries our readers use, and measure how well the site performs – anonymous and aggregated.

Advertising & marketing

Lets advertising partners show and personalise adverts, measure impressions, clicks and visits, prevent ad fraud and pay us – this is how the free site is funded.

🔔 News notifications

Get headlines from NewsHub on this device — even when the site is closed.

You can switch this off at any time. Works on Android, Windows, Mac and Linux browsers; on iPhone/iPad add the site to your Home Screen first.