📰 Newspapers

Sifuna ataka aondolewe kwenye kesi ya kubadilisha jina la chama

Sifuna ataka aondolewe kwenye kesi ya kubadilisha jina la chama

SENETA wa Nairobi Edwin Sifuna ameomba Jopo la Kutatua Migogoro ya Vyama vya Kisiasa kumuondoa katika kesi inayopinga kubadilisha jina la chama cha The Equitable Party (TEP) kuwa Linda Mwananchi Movement.

Katika pingamizi lake, Sifuna anasema hahusiki moja kwa moja na maamuzi yanayopingwa na mwanachama Emmanuel Willyngtone Khamala, wala mlalamishi hajaomba amri yoyote dhidi yake.

Anataka mahakama kutupilia mbali malalamishi hayo dhidi yake pamoja na gharama za kesi.

Khamala anapinga hatua za viongozi wa chama kubadilishwa bila kuwashirikisha wanachama ipasavyo.

TEP ilizinduliwa katika Hoteli ya Serena jijini Nairobi Oktoba 4, 2026, huku Sifuna akitangazwa kuwa kiongozi wake.

Siku nne baadaye, Kamati Kuu ya Kitaifa ya chama hicho iliidhinisha azimio la kubadilisha jina kuwa Linda Mwananchi Movement.

Khamala anasema uamuzi huo ulifanywa bila kuwashirikisha wanachama waliosajiliwa, licha ya kuwaathiri moja kwa moja.

Pia, anapinga kutangazwa kwa kikosi kipya cha uongozi Oktoba 30, akisema wanachama hawakushauriwa wala kupewa taarifa.

In brief

SENETA wa Nairobi Edwin Sifuna ameomba Jopo la Kutatua Migogoro ya Vyama vya Kisiasa kumuondoa katika kesi inayopinga kubadilisha jina la chama cha The Equitable Party (TEP) kuwa Linda Mwananchi Movement. Khamala anapinga hatua za viongozi wa chama kubadilishwa bila kuwashirikisha wanachama ipasavyo. Khamala anasema uamuzi huo ulifanywa bila kuwashirikisha wanachama waliosajiliwa, licha ya kuwaathiri moja kwa moja.

This is the opening of the story, shared with credit to Taifa Leo. The rest of the report — with every detail — continues on the publisher’s website.

Continue reading at Taifa Leo ↗

Cookie settings

Choose which cookies we may use. You can change this at any time from Cookie settings in the footer. Details of each cookie are in the Cookie Policy.

Strictly necessary

Needed for sign-in, security, payments and remembering these choices. Always on.

Preferences

Remember settings such as dark mode.

Analytics & performance

Help us count visits, understand which pages, devices and countries our readers use, and measure how well the site performs – anonymous and aggregated.

Advertising & marketing

Lets advertising partners show and personalise adverts, measure impressions, clicks and visits, prevent ad fraud and pay us – this is how the free site is funded.

🔔 News notifications

Get headlines from NewsHub on this device — even when the site is closed.

You can switch this off at any time. Works on Android, Windows, Mac and Linux browsers; on iPhone/iPad add the site to your Home Screen first.